MBUNGE WA HANDENI VIJIJINI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KWENYE KITUO CHA AFYA CHA MKATA.
Автор: Ernest Mbezi
Загружено: 2018-02-22
Просмотров: 2365
Описание:
Mbunge wa jimbo la Handeni Vijijini Mh Mboni Mhita amefanya ziara ya kushtukiza katika Kituo cha afya cha Mkata na Kukuta baadhi ya changamoto ikiwemo changamoto ya mzani wa kupimia uzito watoto kutokutosheleza kuhudumia wateja pamoja na kutokuepo kwa mhudumu wa maabara jambo ambalo limepelekea huduma ya maabara katika kituo hicho cha Afya kusuasua.
Habari na Ernest Mbezi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: