BALAA! TRENI YA MWENDOKASI YA SGR YATOKA KWENYE NJIA YA RELI ENEO LA RUVU
Автор: Mwanzo TV Plus
Загружено: 2025-10-23
Просмотров: 2673
Описание: Treni ya SGR iliyokuwa ikielekea Dodoma kuelekea Dar es Salaam imeripotiwa kutoka kwenye reli eneo la Ruvu mapema leo Alfajiri. Kulingana na abiria hakuna majeruhi walioropotiwa ila taharuki iliweza kushuhudiwa. Msemaji wa TRC Fredy Mwanjala amesema uchunguzi wa kitaalamu unaendelea ili kubaini chanzo cha ajali hiyo. Kwa sasa viongozi wa TRC na maafisa wa usalama wamefika eneo la tukio na wanatarajiwa kutoa taarifa rasmi baada ya tathmini.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: