TAKUKURU yavaa gwanda kumsaka Zacharia Hans Poppe na Frankline Lauwo
Автор: Azam TV
Загружено: 2018-09-14
Просмотров: 1079
Описание:
Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU imemtaka aliyekuwa Mjumbe wa kamati ya utendaji wa Simba Sports Club Zacharia Hans Poppe pamoja na aliyekuwa Mhandisi aliyepewa zabuni ya kujenga uwanja wa klabu hiyo uliopo Bunju Jijini Dar es salaa Franklin Lauwo kujisalimisha katika ofisi za mamlaka hiyo ili kujibu madai ya kujihusisha na vitendo vya rushwa katika nyakati tofauti.
Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es salaam Naibu Mkurugenzi wa TAKUKURU Brigedia Jenerali John Mbungo amesema kuwa wametumia njia mbalimbali za kuwatafuta ikiwa ni pamoja na njia ya wazi lakini jitihada hizo zimegonga mwamba jambo ambalo limewasukuma kutumia vyombo vya habari kuwasilisha ujumbe huo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: