UENDE NAMI By Sinai Mwanda
Автор: Sinai Mwanda
Загружено: 2026-02-09
Просмотров: 352
Описание:
Wimbo huu umetungwa na Sinai Mwanda ukiwa ni maombi ya dhati kwa Mungu, ukionyesha unyenyekevu na imani ya kweli. Ni kilio cha moyo kinachomuomba Mungu awe pamoja nami katika kila hatua ya maisha, na aniongoze katika kila jambo nisilofanya kwa kutegemea akili zangu mwenyewe bali mapenzi na hekima yake.
Kazi hii imerekodiwa na kufanyika katika GM SOUND RECORD, studio iliyopo Airport ya Zamani – Mbeya.
Wimbo huu ni faraja, mafunzo na ukumbusho kuwa Mungu ndiye mwongozo wa kweli katika safari ya maisha.
🎶 Sikiliza, tafakari, na ubarikiwe.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: