Jinsi tulivyo vikisha uzito wa kilo 1.7 ndani ya siku 23 kwa broiler
Автор: KingoFarm
Загружено: 2026-02-03
Просмотров: 1637
Описание:
Je, inawezekana kweli kufikisha broiler uzito wa kilo 1.7 ndani ya siku 23 bila gharama kubwa?
👉 Ndiyo, inawezekana kabisa – na kwenye video hii nimekuonyesha hatua zote tulizotumia kwa vitendo 💪🐔
Katika video hii utajifunza: ✅ Aina ya vifaranga tulivyoanza navyo
✅ Ratiba sahihi ya chakula (starter & grower)
✅ Booster za asili tulizotumia kuongeza hamu ya kula
✅ Umuhimu wa maji safi kwenye ukuaji wa broiler
✅ Msongamano sahihi wa banda
✅ Makosa yanayowafanya wengi kushindwa kufikisha uzito kwa muda mfupi
🎯 Matokeo: 📅 Siku 23
⚖ Uzito: 1.6 – 1.7 kg
💰 Gharama ndogo – Faida kubwa
Video hii ni muhimu kwa: ✔ Wanaoanza kufuga broiler
✔ Wafugaji wenye uzoefu wanaotaka kuongeza faida
✔ Yeyote anayetaka kuuza broiler mapema kwa faida nzuri
👉 Usisahau LIKE 👍 | COMMENT 💬 | SUBSCRIBE 🔔
👉 Shiriki video hii kwa mfugaji mwenzako, huenda ikambadilisha kabisa ufugaji wake
📲 Mafunzo zaidi & Tiba za Asili kwa Kuku:
Jiunge na jamii ya KingoFarm
#KingoFarm
#UfugajiWaBroiler
#BroilerSiku23
#UzitoWaHaraka
#FaidaKwaMfugaji
#UfugajiWaKisasa
#BroilerBusiness
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: