Mbagala chimbuko la kipaji cha Mbwana Samatta
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2019-11-14
Просмотров: 314
Описание: Jina Mbwana Samatta sio geni miongoni mwa mashabiki wa soka nchini Tanzania, hususan wakati huu ambapo nyota huyo anaongoza maandalizi ya timu yao ya taifa kabla ya kuvaana na Guinea ya Ikweta katika kinyang'anyiro cha kuwania nafasi katika fainali za Kombe la Dunia 2022 na AFCON 2021. Lakini je, unajua chimbuko la kipaji chake? Tazama vidio hii tukupeleke Mbagala uelewe zaidi.#Kurunzi
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: