NMB YATOA MIKOPO YA RIBA YA ASILIMIA TISA
Автор: TimesMajira Tv
Загружено: 2022-04-13
Просмотров: 1130
Описание:
Katika juhudi za kuwezesha na kuboresha mnyororo mzima wa thamani wa kilimo, uvuvi na ufugaji nchini; tumeingia makubaliano na wizara ya kilimo kushirikiana katika kukuza sekta hii
Tumetenga Sh. Bilioni 100 zitakazokopeshwa kwa riba ya asilimia 9 kwa wakulima, wavuvi, wafugaji na wafanyabiashara kwenye mnyororo wa thamani katika sekta hizo.
Tsh Bilioni 20 zimetengwa kwaajili ya mikopo itakayosaidia ujenzi wa maghala ya kuhifadhi mazao maeneo ya vijijini nia ikiwa ni kusaidia kunusuru upotevu wa mazao.
Hii ni fursa kwa wakulima, wavuvi, wafugaji na wajasiliamali wa kilimo kujipatia mikopo nafuu na kujiongezea kipato.
Hafla ya kutangaza makubaliano hayo ilifanyika leo jijini Dodoma na kuhudhuriwa na Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe na ujumbe wa Benki yetu uliongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu, Bi. Ruth Zaipuna.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: