EMILY PART 08
Автор: Lumbasi Simulizi
Загружено: 2026-01-17
Просмотров: 3485
Описание:
Baada ya Timothy kukata simu. Dennis alinipigia, sikujisumbua hata kwa chochote nilimkatia simu na kumblock wakati ule ule. Sikutaka kuona chochote kutoka kwake. Sio ujumbe mfupi wala simu au chochote kile.
Instagram: @lucaslumbasi_tz
#simulizi #truestory #simulizizalumbasi
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: