MWILI MMOJA WAPATIKANA, WENGINE 17 WAENDELEA KUTAFUTWA
Автор: ufmradiotz
Загружено: 2025-08-19
Просмотров: 447
Описание:
Mwili mmoja wa fundi mchimbaji aliyekuwa amenasa kwenye kifusi kufuatia kuporomoka kwa mgodi umepatikana huku wachimbaji wengine 17 wakiendelea kutafutwa.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mboni Mhita amesema kuwa juhudi za uokoaji zinaendelea ili kuhakiksha kila aliye chini ya ardhi anatolewa.
Imeandaliwa na Kasisi Kosta
Mhariri | ✍@rajjmsangi
#UFMUpdates
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: