ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

JPM Amewataja Hadharani Matajiri Wanaoibia serikali

Автор: Global TV Online

Загружено: 2018-12-10

Просмотров: 36652

Описание: JPM Amewataja Hadharani Matajiri Wanaoibia serikali

RAIS Dkt. John Magufuli amesema wapo wafanyabiashara wakubwa nchini ambao wamekuwa wakikwepa kodi kwa kupitia makontena wanayoingiza na wengine kupitia njia za mipakani kupeleka biashara zao nje ya nchi.

Magufuli amesema hayo leo wakati akizungumza na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Wakuu wa Mikoa nchi nzima katika ukumbi wa JNICC jijini Dar es Salaam na kusema majina yao anayo lakini anashangazwa na TRA kutochukua hatua sitahiki.

“Nawataka TPA, TRA, polisi na Idara ya uhamiaji mjirekebishe, vipo vitendo vingi vya kukwamisha wawekezaji naomba mlifanyie kazi. TRA toeni adhabu kwa wakwepa kodi ilimradi msiwaonee na hili litakuwa rahisi tu endapo mtapunguza viwango vya kodi watakuja wenyewe kulipa.

“Wapo watu wamekuwa wakikwepa kodi, Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tarafa wote mpo. Wakati mwingine naonaga kidogo kwenye TV mmekamata watu, ila najua ile mnafanyajaga kujitangaza kuwa mpo, baada ya muda hali inarudi ile ile.

“Mimi nina majina ya wafanyabiashara wa Kariakoo ambao wanaingiza bidhaa zao bila kulipa kodi kwenye mipaka yetu na wanashirkiana na vyombo vya dola nashangaa wakuu wa wilaya na mikoa hamuwajui. yupo mmoja jina linaishia na ‘AGENCY’, mwingine ‘O’.

“Yupo mfanyabiashara kule Mwanza, halipi kodi na anapitisha magari hata 10 kwa siku moja. Wapo wafanyabiashara wengine wawili wao huleta makontena hadi 700 Kariakoo kwa mwak kisha wanawauzia wengine. Nashangaa TRA, RC Dar hamuwajui.

#RAISMAGUFULI #TRA

Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw
Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL
Website: www.globalpublishers.co.tz
FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers
Instagram: www.instagram.com/globalpublishers
Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari

Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV
Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw...

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
JPM Amewataja Hadharani Matajiri Wanaoibia serikali

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

RAIS SAMIA AKIPOKEA RIPOTI YA TUME YA RAIS YA KUTATHMINI MABORESHO YA MFUMO WA KODI NCHINI

RAIS SAMIA AKIPOKEA RIPOTI YA TUME YA RAIS YA KUTATHMINI MABORESHO YA MFUMO WA KODI NCHINI

MAGUFULI AMVAA KICHERE, AMTAJIA MAKOSA ALIYOFANYA

MAGUFULI AMVAA KICHERE, AMTAJIA MAKOSA ALIYOFANYA "NITAKUTUMBUA TENA"

🔴#LIVE: RAIS SAMIA ANAZUNGUMZA MUDA HUU

🔴#LIVE: RAIS SAMIA ANAZUNGUMZA MUDA HUU

RAIS MAGUFULI ALIVYOKWENDA BENKI KUU BILA KUWATAARIFU

RAIS MAGUFULI ALIVYOKWENDA BENKI KUU BILA KUWATAARIFU

🔴#LIVE​​​​​​​​: MAGUFULI AONGEA kwa UCHUNGU Msibani kwa BALOZI KIJAZI, Asimulia ALIVYOFANYA Nae KAZI

🔴#LIVE​​​​​​​​: MAGUFULI AONGEA kwa UCHUNGU Msibani kwa BALOZI KIJAZI, Asimulia ALIVYOFANYA Nae KAZI

#LIVE |  Rais Samai Anapokea Ripoti ya Tume ya KUtathimini Maboresho ya Mfumo wa Kodi Nchini

#LIVE | Rais Samai Anapokea Ripoti ya Tume ya KUtathimini Maboresho ya Mfumo wa Kodi Nchini

Rais Magufuli aimbana TRA, Wizara ya Fedha, ataka majibu

Rais Magufuli aimbana TRA, Wizara ya Fedha, ataka majibu

Rais Magufuli afanya ziara ya ghafla Wizara ya fedha Nov. 6, 2015

Rais Magufuli afanya ziara ya ghafla Wizara ya fedha Nov. 6, 2015

🔴#Live:MAHAKAMA YATOA UAMUZI MZITO-NI KUHUSU UCHAGUZI /VIONGOZI WALIVYOMLILIA JPM/JE NINI KINAFUATA?

🔴#Live:MAHAKAMA YATOA UAMUZI MZITO-NI KUHUSU UCHAGUZI /VIONGOZI WALIVYOMLILIA JPM/JE NINI KINAFUATA?

TRA HATARINI | Wapewa TUMBO JOTO Mbele Ya JPM

TRA HATARINI | Wapewa TUMBO JOTO Mbele Ya JPM

Rais Magufuli amuweka kati RC, DC na Mkurugenzi akijibu kero za Wananchi

Rais Magufuli amuweka kati RC, DC na Mkurugenzi akijibu kero za Wananchi

Հարցազրույց Լևոն Շիրինյանի հետ

Հարցազրույց Լևոն Շիրինյանի հետ

WATAKA KUPIGANA MAKONDE MBELE YA WAZIRI MKUU BAADA YA KUPEANA TALAKA MAHAKAMANI.

WATAKA KUPIGANA MAKONDE MBELE YA WAZIRI MKUU BAADA YA KUPEANA TALAKA MAHAKAMANI.

Rais Magufuli alivyojibu maswali ya waandishi wa habari akiwa Waziri wa Ujenzi

Rais Magufuli alivyojibu maswali ya waandishi wa habari akiwa Waziri wa Ujenzi

Nowa Broń Iranu Zmieniła Przebieg Wojny?! USA Pod Kreską

Nowa Broń Iranu Zmieniła Przebieg Wojny?! USA Pod Kreską

ТАШИЕВЫ ВЫВЕЛИ МИЛЛИАРДЫ СОМОВ ИЗ ГОСБЮДЖЕТА || 16.03.2026

ТАШИЕВЫ ВЫВЕЛИ МИЛЛИАРДЫ СОМОВ ИЗ ГОСБЮДЖЕТА || 16.03.2026

RAIS MAGUFULI ALIVYO MFUKUZA MTU KAZI IKULU “MSUKUMA”

RAIS MAGUFULI ALIVYO MFUKUZA MTU KAZI IKULU “MSUKUMA”

Rais Magufuli aweka wazi Sababu za kuivunja bodi ya TRA

Rais Magufuli aweka wazi Sababu za kuivunja bodi ya TRA

Kitu JPM amewaambiwa Wafanyabiashara baada ya kuwaita IKULU

Kitu JPM amewaambiwa Wafanyabiashara baada ya kuwaita IKULU

Rais Magufuli aagiza TRA kumlipa fidia mfanyabiashara aliyelazimishwa kutoa rushwa

Rais Magufuli aagiza TRA kumlipa fidia mfanyabiashara aliyelazimishwa kutoa rushwa

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]