MKUTANO MKUU SIMBA 2025 | Mangungu ajibu swali la sababu za Mkutano kufanyika siku ya mechi
Автор: Azam TV
Загружено: 2025-11-30
Просмотров: 6190
Описание:
MKUTANO MKUU WA MWAKA WA SIMBA 2025 | “Hakuna siku ya Jumapili ambayo Simba haitokuwa na mechi”
Mwenyekiti wa Simba SC, Murtaza Mangungu amesema kikosi cha timu hiyo ambacho kipo nchini Mali kucheza mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kipo na uwakilishi wa sehemu ya viongozi.
Mangungu amewajibu baadhi ya watu ambao wanahoji kwa nini Mkutano wao Mkuu umefanyika siku ambayo timu ina mechi.
Simba imefanya Mkutano Mkuu wa mwaka 2025 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam.
#SimbaSC #MkutanoMkuuSimba #AnnualGeneralMeeting2025 #AG
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: