MACHINGA NA BODA BODA GEITA WATOA TAMKO LA KUPINGA MAANDAMANO OKTOBA 29, 2025.
Автор: MACHINGA TV
Загружено: 2025-10-28
Просмотров: 1387
Описание:
Uongozi wa Maafisa Usafirishaji Mkoa wa Geita kwa Kushirikiana na Uongozi wa Wawamachinga Mkoa wa Geita wametoa Tamko kupinga Maandamano Baada ya kuona Taarifa mbalimbali katika Mitandao ya Kijamii ikihamasisha watu kuingia Barabarani Badala yake wakapige kura .
Wakizungumza katika Ofisi zao zilizopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Geita Mkoani humo Mwenyekiti wa Machinga Mkoa wa Geita Maulid Said pamoja na Mwenyekiti wa Waendesha Bodaboda Mkoa wa Geita Fredy Fidel wamewataka wananchi pamoja na Waendesha Boda kwenda kupiga kura kwa kumchagua kiongozi wanaye Mtaka.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: