MAJALIWA Aibua MADUDU MSD/Atoa MAAGIZO Mazito/Kuwanyoosha WAPIGAJI/
Автор: Rick Media
Загружено: 2022-05-09
Просмотров: 7639
Описание:
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo May 09,2022 amefanya ziara kwenye bohari Kuu ya MSD Dar es Salaam na kukagua Kiwanda cha Barakoa na Dawa mbalimbali.
Kwenye ziara yake Majaliwa ametoa maagizo mbalimbali yakiwemo kuchukuliwa hatua za kisheria wale wote waliohusika kwenye ubadhilifu wa fedha za serikali ambao umejulikana kupitia ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali.
...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram https://www.instagram.com/rickmediatz...
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------
#WaziriMkuu #KasimMajaliwa
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: