🔴
Автор: Global TV Online
Загружено: 2021-07-16
Просмотров: 600
Описание:
🔴#LIVE: GLOBAL HABARI JULAI 16 - RAIS SAMIA AANZA ZIARA BURUNDI...
Leo Julai 16, 2021 Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Melchior Ndadaye, jijini Bujumbura nchini Burundi kwa ziara ya kitaifa ya siku mbili.
Rais Samia amewasili nchini humo na kupokelewa na Naibu wa Rais wa nchi hiyo, Bw. Prosper Bazombanza katika ziara ambayo alialikwa na Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye.
Katika siku ya kwanza ya Ziara hiyo Rais samia akiwa na mwenyeji wake Rais wa Ndayishimiye wamezungumza na vyombo ya habari na kubainisha mikakati mikubwa waliyonayo katika kukuza maendeleo ya nchi hizi mbili.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: [email protected] OR [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: