KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - FRIDAY PRAYERS 30/01/2026
Автор: KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH
Загружено: 2026-01-30
Просмотров: 8615
Описание:
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - FRIDAY PRAYERS 30/01/2026
UJUMBE WA LEO :
“KATIKA MLIMA WA BWANA ITAPATIKANA”
Agenda za maombi.
1. Omba toba na upatanisho kati yako na Mungu ili maombi yako yasikiwe.
Isaya 59 : 1 - 2
Yohana 9 : 31
Warumi 8 : 26
Zekaria 12 : 10
2. Ombea familia yako na maisha yako Roho ya kumcha Bwana ili wapokee baraka ya uchaji.
Isaya 11 : 2 - 3
Mithali 1 : 7
3. Ombea haja za moyo wako.
Wafilipi 4 : 6
1Petro 5 : 6 - 7
4. Kwa mamlaka uliyopewa na Yesu Kristo Vunja na kemea jeshi la pepo wabaya wanaopambana na hatima yako.
-mapepo ya mafarakano, mapepo ya mauti, mapepo ya kujichukia , mapepo ya ukichaa, mapepo ya aibu, mapepo ya kucheleweshwa, mapepo ya kuzuia watu wa msaada.
Luka 9 : 1
Marko 5 : 1 - 9
Waefeso 6 : 12
5. Ombea afya yako na kukemea kila pepo wa udhaifu, pia omba Yesu Kristo anyooshe mambo yako yaliopinda.
Luka 13 : 11
Yeremia 30 : 17
6. Pokea majibu kwa shukran na sadaka
Mathayo 7 : 8
Mhubiri: Mwl Benjamin Abel
Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga
Simu: +255 713 553 443
YouTube: Kijitonyama Lutheran church
Barua Pepe : [email protected]
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: