Exclusive Interview: Hivi ndivyo watahiniwa wa sekretarieti ya ajira watakavyofanya usaili
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2024-03-27
Просмотров: 18098
Описание:
Cheza sasa kupitia https://shorturl.at/jqzU6 na ushinde
Serikali imewahakikishia waombaji wa ajira Serikalini kupitia mfumo mpya wa kidigitali (OATS) ambao unatoa nafasi ya waomba ajira serikalini kufanya usaili kwenye maeneo waliyopo, kuwa utakuwa rahisi kuutumia na hakuna mtu atakayeshindwa kukamilisha usaili.
Naibu Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anayesimamia Idara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama), Samweli Tanguye katika mahojiano na Mwananchi Digital kuhusu ufanisi wa mfumo huo yaliyofanyika ofisini kwake jijini Dodoma leo Jumatano, Machi 27, 2024 ameeleza hatua kwa hatua jinsi mtahiniwa atakavyofanya usaili kwa kutumia mfumo huo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: