MKESHA MAALUM: USIKU WA KUPOKEA MAJIBU YA MAOMBI YETU 2024
Автор: Minister Mocky
Загружено: 2024-06-28
Просмотров: 9178
Описание:
BWANA YESU asifiwe,tunamshukuru sana MUNGU kwa kutembea nasi katika miezi sita ya kwanza ya mwaka 2024, MWAKA WA KURIDHIWA NA BWANA. Karibu na ahsante kwa kujumuika nasi katika mkesha wetu maalum wa KUPOKEA MAJIBU YA MAOMBI YETU inayokujia leo siku ya Ijumaa tarehe 28 Juni 2024 mubashara kutoka Heart of Worship Ministry HQ Mbezi Beach Dar Es Salaam.
Mkesha na Ibada hii inaongozwa na Mtumishi wa Mungu Amoke Nkonoki.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: