GOBA SDA CHOIR - SAFARI 6K Official Video
Автор: Goba SDA Choir
Загружено: 2025-08-16
Просмотров: 9787
Описание: Wimbo wa Safari ni wimbo unagusa na kutukumbusha kisa cha wana wa Israel jinsi walivyopitia misukosuko mingi lakini MUNGU hakuwaacha walifika salama katika nchi ya ahadi, hata sisi katika safari yetu kuelekea Mbinguni Mungu daima yupo pamoja nasi ila tunapaswa tudumishe upendo na kuendelea kuwakumbusha wengine habari za MUNGU wetu ili sote tumwone Kristo ajapo mara ya pili.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: