IMANI KARATA - APTC CATHOLIC CHOIR- (SMS SKIZA 5325336 to 811) to get IMANI KARATA as your Skiza.
Автор: Francis Wambua Channel.
Загружено: 2020-02-12
Просмотров: 45010
Описание:
SMS SKIZA 5325336 to 811 to get IMANI KARATA as your Skiza tune.
IMANI KARATA - ni wimbo uliobeba jina la Album ya kwanza, ambao umeimbwa na wanafunzi wakatoliki(Catholic Recruits Course 2013/2014) wa chuo cha mafunzo cha Polisi wa Utawala (Administration Police Training College) ambacho kwa sasa kinajulikana kama National Police College-Embakasi "A" Campus. Mtunzi wa wimbo huu ni Mwalimu F.K.WAMBUA.
Tunaalikwa kuugana nao katika kuitazama kazi hii iliyobobea sana. Barikiweni katika utazamaji wenu. Wimbo huu uwe chemi chemi ya neema, tafakari na mafundisho kwao wote watakaoutazama.
Usisahau ku LIKE, ku SHARE na ku SUBSCRIBE. Asante sana.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: