Скачать
WAFANYAKAZI KIWANDA CHA METL GROUP WALALAMIKA KUKOSA VIFAA VYA USALAMA KAZINI
Автор: Yuboxtv
Загружено: 2021-11-09
Просмотров: 342
Описание:
Wafanyakazi wa kiwanda Cha kutengeneza nguo Cha Twenty first Century (21st century) kilichopo Mafisa Manispaa ya Morogoro wameulalamikia uongozi wa kiwanda hicho kutokuwapatia vifaa vya usalama kazini
Kiwanda hicho kinamilikiwa na METL GROUP, Ikiwa wafanyakazi wanaulalamikia uongozi wa kampuni hilo kwa kutowapa vifaa kama vile safety boot, makoti maalumu na vitu vingine vya kuukinga mwili muda wa kazi kama usalama wao.
Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: