KATA ZA KANYALA, SOSWA NA KASHARAZI KUNUFAIKA UJIO WA MV. SENGEREMA
Автор: Temesa Tanzania
Загружено: 2025-08-04
Просмотров: 332
Описание:
“Mimi Ninapongeza kwanza kwa maamuzi ambayo Serikali imeona kwamba Kanyala kuna wananchi ambao wanahitaji usafiri salama, kwahiyo nitoe tu salamu kubwa kwa mama yetu Samia ambaye ametuona sisi wakazi wa Kanyala atuletee usafiri ambao uko salama.”
Haya ni Maneno ya mmoja wa wakazi wa Kata ya Kanyala Halmashauri ya Mji Buchosa Sengerema Mkoani Mwanza ambako Serikali inatarajiwa kupeleka kivuko MV. SENGEREMA kutoa huduma akitoa shukran kwa Serikali kwa kuamua kuwatatulia changamoto ya usafiri inayowakabili.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: