#live
Автор: Smile Media
Загружено: 2024-04-17
Просмотров: 951
Описание:
UTIAJI SAINI WA MKATABA WA UJENZI WA CHUO CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI MUHIMBILI KAMPASI YA KIGOMA.
Mkuu wa Wilaya ya Kigoma,Salum Kalli,akimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Kigoma,Thobias Andengenye. ameongoza zoezi la utiaji saini wa mkataba wa ujenzi wa chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi(MUHAS)Kampasi ya Kigoma.
zoezi hilo limefanyika katika ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Kigoma na kuhudhuriwa na wajumbe wa Chuo cha Afya Muhimbili,viongozi ngazi ya Mkoa,Mganga Mkuu wa mkoa dr.Jesca Lebba na viongozi wa manispaa ya kigoma ujiji wakiongozwa na Mstahiki Meya.
Kalli,amesema uwepo wa chuo hiki ni msaada mkubwa kwa mkoa wa Kigoma na ukanda wa magharibi na nchi jirani za Congo na Burundi.
Aidha Katibu tawala wa mkoa wa Kigoma, Hassan Abbas, amesema hategemei mradi huo ukawanufaishe watu wa mbali na Kigoma bali wakazi wa mkoani humo watanufaika na mradi huo Mkubwa
uwepo wa chuo hicho unakwenda kukamilisha(MUHAS) Kuwa na kampasi tatu . #live #breakingnews #quotes #simbasc #habarimpya #kitengetv #sisi #diamondplatnumz #ikulumawasiliano #viral #viralvideo #quran #muhimbili #wizara ya Afya#ummymwalimu #sisi #india#art #health@Smile media update.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: