Sauti ya Injili Mtandaoni na Rev. Herry Ndimanga
Автор: Bethel Christian Miracle Center
Загружено: 2026-02-13
Просмотров: 47
Описание:
Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Calvary Assemblies of God, Rev. Herry Ndimanga, ametangaza rasmi uzinduzi wa YouTube Channel ya Kanisa kama jukwaa maalum la kuhubiri na kueneza Injili ya Yesu Kristo kwa mataifa yote.
Kupitia jukwaa hili, Kanisa linalenga kufikisha Neno la Mungu kwa uwazi, nguvu na upako, likiwafikia watu wa rika na mataifa mbalimbali bila mipaka.
Channel hii itakuwa mahali pa mafundisho ya kina, mahubiri yenye ufunuo, maombi, ibada mubashara pamoja na ujumbe wa matumaini na wokovu.
Karibu ujiunge nasi, usubscribe, na ushiriki ili Injili iwafikie wengi zaidi.
“Kwa maana Neno la Msalaba kwao wanaopotea ni upuzi; bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu.” (1 Wakorintho 1:18)
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: