BMCC Ebenezer Choir | Imani Katika Matendo (Official Live Video)
Автор: BMCC EBENEZER CHOIR
Загружено: 2025-08-01
Просмотров: 2847
Описание:
Kwa maana haki ya MUNGU inadhihirishwa ndani yake,toka imani hata imani;kama ilivyoandikwa,Mwenye haki ataishi kwa imani. Warumi 1;17.
Imani ni nguzo ya mahusiano na Mungu, huwezi ukahusiana na Mungu ambaye humwamini. Imani inajengwa kwa Neno, Ushirika wa Roho na Maombi katika Kristo Yesu. Mwamini Mungu katika hali zote, majira yote na mazingira yote.
Venue;BMCC Church.
Audio Captured by Lusekelo Mwakyoma(EUN Audio)
Mastered & Mixed by Lusekelo Mwakyoma(EUN Audio)
Sound Engineer; Lusekelo Mwakyoma(EUN Audio)
Video captured by BMCC Media Team
Lights by Peter Lights.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: