''DAR WAMEANZA KUZALISHA SIMBA - AKIFIKA MIAKA 2 MAUMBILE KAA NAYE MBALI'' - AFISA WANYAMA PORI....
Автор: Global TV Online
Загружено: 2025-08-11
Просмотров: 2303
Описание:
''DAR WAMEANZA KUZALISHA SIMBA - AKIFIKA MIAKA 2 MAUMBILE KAA NAYE MBALI'' - AFISA WANYAMA PORI....
IMEKUWA kama fasheni flani iliyoibuka hivi karibuni hapa nchini kwa watu kutembelea kwenye bustani za wanyama pori (zoo) wakiwemo wanyama hatari kama Simba na wengineo na kucheza nao au kuwalisha vyakula wakiwa nao.
Katika matukio hayo tumewashuhudia watu wakipiga picha kuwachezea simba na kuwalisha chakula wanyama kama vile twiga na ndege wakubwa kama vile, mbuni, korongo na wengineo.
Akizungumza na mwandishi wetu kwenye banda la Dar es Salaam Zoo lililopo kwenye Maonesho ya Nanenane, Morogoro Afisa Wanyama pori Mwandamizi kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyama pori nchini (TAWA) aliyejitambulisha kwa jina la Proches Rongoma, amesema vitendo vya kucheza na mnyama kama simba ni hatari mno. Aliendelea kusema;
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: