JUKWAA LA BONGO LIX KUWAFUNGULIA WASANII MASOKO DUNIANI, SERIES YA NIPO BONGO YATAMBULISHWA RASMI
Автор: Manara TV
Загружено: 2026-02-18
Просмотров: 106
Описание:
Muandaaji na mtayarishaji ambaye pia ni muigizaji, Ernest Napoleon, amewataka Watanzania kuunga mkono kuangalia Tamthilia za Kitanzania zilizobeba maudhui yaliyolenga kuelimisha jamii na kuachana na tamthilia na filamu kutoka mataifa mengine duniani.
Napoleon ameyasema hayo kwenye Mkutano na waandishi wa habari leo Februari 18,2026 kuhusu uwepo wa program (Application) ya Bongo Lix itakayowawezesha watazamaji kutazama tamthilia na filamu na waandaaji kuuza kazi zao za sanaa. #diamondplatnumz #kenya #music
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: