Balaa la Diamond na AY Kwenye B-day ya Sallam
Автор: Global TV Online
Загружено: 2018-05-11
Просмотров: 7822
Описание:
Balaa la Diamond na AY Kwenye B-day ya Sallam
Birthday Party ya mmoja kati ya mameneja wa msanii Diamond Platnumz, Saalam SK imefanyika usiku wa Mei 12, 2018 katika ukumbi wa Element na kuhudhuriwa na mastaa kibao wakiwemo wanamuziki wa WCB Wasafi.
Diamond na AY wameinogesha pati hiyo kwa kuimba pamoja ngoma yao ya 'Zigo' na kutibua maruhani ya mashabiki wao waliofika katika pati hiyo.
nstal GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. .
TWITTER: / globalhabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .
Category
News & Politics
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: