WAHAMIAJI 76 WA BURUNDI, RWANDA WAKAMATWA KAGERA
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2025-11-26
Просмотров: 669
Описание:
Jeshi la Polisi katika mkoa wa Kagera kwa kushirikiana na Idara ya Uhamiaji mkoani humo, limeendesha msako maalum kwenye maeneo ya barabara Kuu ya kutoka Nyakahula hadi Nyakanazi iliyoko wilayani Biharamulo na kufanikiwa kuwakamata raia 76 wa kigeni kutoka nchi za Burundi na Rwanda walioingia nchini kwa kutumia vipenyo vilivyoko mpakani.
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani humo, Kamishina Msaidizi Mwandamizi, Blasius Chatanda amebainisha haya wakati akiwaonyesha raia wa kigeni waliokamatwa kufuatia msako huo, ambapo raia wa nchi ya Burundi waliokamatwa ni 73 na raia wa nchi ya Rwanda ni watatu.
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: