Unafahamu wasi wasi unaaathiri afya ya akili?
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2021-05-13
Просмотров: 5621
Описание:
Wengi wetu huwa tunapatwa na wasi wasi maishani. Japo hii ni kawaida, lakini unafahamu wasi wasi kupita kiasi na tatizo la akili? Tunasema wazi hii leo kuhusu jinsi na kugundua tatizo hili na msaada. BBC Maisha inajibu maswali muhimu ya afya.
#bbcswahili #afya #afyayaakili
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: