IGP Sirro asema haya mbele ya Rais Magufuli || "Mama mtunze mwanao, Mke mtunze mumeo"
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2021-02-26
Просмотров: 6876
Описание:
Inspekta Jenerali wa Polisi Tanzania (IGP) Simon Sirro, amesema hali ya usalama nchini Tanzania iko salama licha ya matukio machache kujitokeza lakini wamehakikisha kila kitu kimekuwa sawa.
Amesema hayo mbele ya Rais wa Tanzania Dk John Magufuli aambapo Rais yupo katika ziara yake Jijini Dar es Salaam ambapo leo Februari 26, 2020 atahitimisha ziara yake ya siku tatu, ambapo atazindua majengo mapya ya polisi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: