MELI YA MAREKANI ILIPOOKOLEWA NA DOLA YA ZANZIBAR. MKASA WA KUSISIMUA
Автор: Nuzlan Islamic TV
Загружено: 2024-11-26
Просмотров: 21401
Описание:
MELI YA MAREKANI ILIPOOKOLEWA NA DOLA YA ZANZIBAR. MKASA WA KUSISIMUA.
Historia ya safari ya mwanzo kutoka Zanzibar hadi Marekani kwa jahazi la Sultana.
Mahusiano ya usultani wa Zanzibar na taifa la Marekani.
Ndugu mtazamaji Usikose kutizama makala hii ya kipekee. Ili upate kuyajua mengi kuhusu DOLA YA ZANZIBAR mnamo Karne ya 19.
Pia utapata kuwajua wazanzibari wa mwanzo kufika nchini Marekani baada ya kukata masafa marefu kutoka Zanzibar kwa jahazi la Sultana. Safari hii ilichukua karibu miezi mitatu ndani ya bahari.
Usisahau kusubscribe na kubonyeza alama ya kingele pamoja na kulike kushare na kucomment
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: