ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Kipindi 07, Ripoti ya Moja kwa Moja Kuhusu Maisha ya Kanisa

Автор: Enzi Mpya

Загружено: 2026-01-06

Просмотров: 58

Описание: Kipindi 07, Ripoti ya Moja kwa Moja Kuhusu Maisha ya Kanisa: Ushuhuda wa Kupitia wa Wakristo Katika Kanisa la Ufilipino: Jinsi Hukumu ya Maneno ya Mungu Huwaweka Huru Kutoka kwa Minyororo ya Umaarufu, Faida, na Hadhi

Wakristo katika Kanisa la Mwenyezi Mungu nchini Ufilipino wamesikia sauti ya Mungu na wamekuja mbele ya kiti Chake cha enzi kwa kujisalimisha. Wananunyiziwa, wanapewa riziki, na wanachungwa kibinafsi na Mwenyezi Mungu, na wamehudhuria karamu ya ufalme wa mbinguni. Wanakubali hukumu na utakaso wa maneno ya Mungu, na wamekuja kutambua kwamba tabia zao potovu ndicho chanzo kikuu cha dhambi zao na kwamba kufuatilia umaarufu, faida na hadhi ni njia isiyo sahihi. Wametubu kweli na wameanza kutekeleza wajibu wa kiumbe aliyeumbwa kwa njia ya kutenda mambo halisi. Wameona tumaini la kuokolewa.

00:26 Mambo Muhimu
00:57 Maelezo ya Mwenyeji
04:59 Mwanahabari Eneo la Tukio
06:33 Onyesho la Densi: "Furaha Iliyoje Katika Maisha ya Kanisa"
08:06 Kusoma Maneno ya Mwenyezi Mungu
15:23 Dada May Ashiriki Uzoefu Wake: Jinsi ya Kuwatendea Watu Walio Bora Kuliko Mimi
29:34 Wimbo wa Maneno ya Mungu: "Katika Enzi ya Ufalme Mungu Anakamilisha Mwanadamu Kwa Maneno"
30:26 Dada Noe Ashiriki Uzoefu Wake: Kutoka Kujizuia Hadi Kujitolea Kikamilifu, Sitafuti Tena Kuwa Mtu Pekee Anayeng'aa

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Kipindi 07, Ripoti ya Moja kwa Moja Kuhusu Maisha ya Kanisa

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Kipindi 04, Shuhuda za Wakristo Katika Kanisa la Uhispania—Ukweli Huwaweka Watu Huru

Kipindi 04, Shuhuda za Wakristo Katika Kanisa la Uhispania—Ukweli Huwaweka Watu Huru

Притча - короткометражный художественный фильм

Притча - короткометражный художественный фильм

🔴#LIVE MCHUNGAJI YORAM CHANGALA ANAZUNGUMZA MUDA HUU

🔴#LIVE MCHUNGAJI YORAM CHANGALA ANAZUNGUMZA MUDA HUU

КАК БОГ ПОСРАМИЛ МУДРОСТЬ МИРА СЕГО... БОГ ПОРУГАЕМ НЕ БЫВАЕТ

КАК БОГ ПОСРАМИЛ МУДРОСТЬ МИРА СЕГО... БОГ ПОРУГАЕМ НЕ БЫВАЕТ

Путин принял решение о вторжении / Резкое заявление президента

Путин принял решение о вторжении / Резкое заявление президента

Cała prawda o Danii! Miśko: To co robili na Grenlandii było straszne!

Cała prawda o Danii! Miśko: To co robili na Grenlandii było straszne!

Փառաբանություն և երկրպագություն 11.01.26

Փառաբանություն և երկրպագություն 11.01.26

Массовые расстрелы протестующих. Интервью с Диной Лиснянской 14.01.2026

Массовые расстрелы протестующих. Интервью с Диной Лиснянской 14.01.2026

Epic Beautiful Fusion | Flamenco Saxophone & Flute

Epic Beautiful Fusion | Flamenco Saxophone & Flute

KLĄTWA DZIECI GWIAZD: 10 potomków ikon PRL, którzy skończyli w obłędzie lub więzieniu

KLĄTWA DZIECI GWIAZD: 10 potomków ikon PRL, którzy skończyli w obłędzie lub więzieniu

Kipindi 06, Uzoefu wa Wakristo Kanisani Huko Ufaransa: Masharti ya Kuingia katika Ufalme wa Mbinguni

Kipindi 06, Uzoefu wa Wakristo Kanisani Huko Ufaransa: Masharti ya Kuingia katika Ufalme wa Mbinguni

Grenlandia pod ochroną NATO: Sojusz blokuje imperialne zapędy szaleńca z Białego Domu

Grenlandia pod ochroną NATO: Sojusz blokuje imperialne zapędy szaleńca z Białego Domu

UMUGORE MUTO WINJIZA 200,000$|YASHAKANYE N'UMUSIRIKARE WA AMERIKA|EXA NINEZA AVUZE UKO YABIGENJE

UMUGORE MUTO WINJIZA 200,000$|YASHAKANYE N'UMUSIRIKARE WA AMERIKA|EXA NINEZA AVUZE UKO YABIGENJE

30 LAT POD ZIEMIĄ! Uciekinier z gułagu zbudował bunkier pod CEDREM

30 LAT POD ZIEMIĄ! Uciekinier z gułagu zbudował bunkier pod CEDREM

Porażka Niemiec - Jak stacza się bogaty kraj

Porażka Niemiec - Jak stacza się bogaty kraj

Kipindi 02, Wakristo Huko Brazili Wafurahia Maisha ya Kanisa ya Enzi Mpya

Kipindi 02, Wakristo Huko Brazili Wafurahia Maisha ya Kanisa ya Enzi Mpya

Rymanowski, ks. Skrzypczak: AI, Antychryst i Trump

Rymanowski, ks. Skrzypczak: AI, Antychryst i Trump

Молитва, исцеляющая болезни за секунды! (Так говорит Библия) | Билли Грэм

Молитва, исцеляющая болезни за секунды! (Так говорит Библия) | Билли Грэм

Почему СТАРЦЫ БОЯЛИСЬ СВЯТОК больше, чем других дней

Почему СТАРЦЫ БОЯЛИСЬ СВЯТОК больше, чем других дней

Не игнорируйте больше секреты Билли Грэма.

Не игнорируйте больше секреты Билли Грэма.

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]