NYIMBO ZA KWARESMA TOLEO LA PILI.Mratibu Aloyce Kipangula Waimbaji Chang'ombe Catholic Singers Dar
Автор: Aloyce Goden Kipangula
Загружено: 2024-02-19
Просмотров: 130497
Описание:
Nyimbo za Kwaresma Toleo la Pili
Mratibu- Aloyce Kipangula
Nyimbo hizi ni Tafakari nyingine Mpya inayokusudiwa kutusaidia kuwa Karibu zaidi na Mungu Toba, Sala na Mapendo kwa wenzetu. Tukiendelea kutafakari Hasa kipindi hiki Cha Kwaresma basi kila mmoja anakumbushwa kuhusu kumkaribia Mungu mwenye Huruma na kupatanishwa Naye kwa njia ya Kristo
NILIYEKULETEA TAFAKARI HII NI MIMI ALOYCE GODEN KIPANGULA
Mwinjilishaji kwa njia ya Nyimbo.
TUTAKATIFUZE MALIMWENGU#nyimbozainjili#catholicsongs #kanisakatoliki#nyimbozainjili#kwaresma#nyimbozakwaresma
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: