"Bakteria kwenye mikono ya wageni wanaotembelea hospitali"
Автор: Utafiti Forum
Загружено: 2023-07-13
Просмотров: 153
Описание:
Utafiti umebaini kiwango cha vimelea vya bakteria kwenye mikono ya wageni wanaotembelea hospitali, wakati wa kuingia na wakati wa kutoka. Umefanywa katika hospitali 3 za rufaa jijini Dar es Salaam.
Utafiti umeongozwa na Ninael Jonas; Mtaalamu wa Maabara na Epidemiolojia kutoka Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili(MUHAS). Katika Sauti za Matabibu, Ninael anatueleza kinagaubaga juu ya utafiti huu. Kipindi hiki kimeandaliwa na ReseearchCOM kwa kushirikiana na MUHAS.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: