MMOJA AKUTWA NA UGONJWA WA MARBURG KAGERA :RAIS SAMIA ATOA TAARIFA RASMI
Автор: InfoScopeTv
Загружено: 2025-01-20
Просмотров: 581
Описание:
Uwepo wa Ugonjwa wa Marburg Kagera: Rais Samia Atoa Taarifa Rasmi
Maelezo:
Rais Samia Suluhu Hassan ameitoa taarifa rasmi kuhusu mlipuko wa ugonjwa wa Marburg mkoani Kagera. Katika hotuba yake, Rais ametoa maelezo kuhusu hatua zinazochukuliwa na Serikali kudhibiti ugonjwa huu hatari, ushirikiano na Shirika la Afya Duniani (WHO), pamoja na ujumbe kwa wananchi kuhusu namna ya kujikinga.
Tazama video hii kwa maelezo zaidi kuhusu juhudi za Serikali na taarifa za kitaalam kuhusu ugonjwa huu.
👉 Usisahau ku-like, kushiriki, na ku-subscribe ili kupata taarifa mpya kila mara.
#MarburgVirus #Kagera #RaisSamia #Tanzania #Afya
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: