Usile Mayai Bila Kuangalia Video Hii : Vitu 3 Vyakuangalia Upate Yai Bora
Автор: Doctor Daniel
Загружено: 2026-02-14
Просмотров: 5215
Описание:
Katika video hii nimeonyesha tofauti ya rangi ya yai , bei ya mayai, na aina zake ili kukusaidia kuelewa ni lipi linaweza kuwa bora zaidi kiafya.
Usinunue mayai kwa kuangalia rangi tu! au bei au ukaambiwa la kienyeji ukakubali
Tazama mpaka mwisho ujifunze ukweli kuhusu lishe ya mayai na namna ya kuchagua mayai bora kwa familia yako. 🥚✨
Kama unapenda mada za afya na ukweli wa kisayansi kwa lugha rahisi, bonyeza Subscribe na usisahau kushare video hii kwa ndugu na marafiki.
#Afya
#LisheBora
#ElimuYaAfya
#UkweliWaAfya
#DaktariAnashauri
#AfyaYaFamilia
#ChakulaBora
#UshauriWaLishe
#ChipsiMayai
#Chipsi
#Mayai
#ChakulaChaMtaani
#Kitoweo
#ChakulaChaHaraka
#Mapishi
#ChakulaKitamu
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: