Rais Traore hajaanzisha ugomvi na rais Kagame
Автор: RFI Kiswahili
Загружено: 2025-12-18
Просмотров: 9947
Описание:
#tiktok #facebookpost #DRCongo #AI #RDC #IbrahimTraore #Rwanda
Video kwenye Facebook na Tiktok ikimuonesha rais wa mpito wa Burkina Faso, Ibrahim Traore, akidaiwa kuonesha ghadhabu yake dhidi ya rais wa Rwanda Paul Kagame, kwa jukumu lake katika kudorora kwa usalama mashariki mwa DRC, ni ya uongo.
Tulipata video inayolingana na hiyo katika chapisho la Julai 28, 2023, kapteni Traore, akihutubu kwenye mkutano wa pili kati ya Urusi na Afrika, kule Saint Petersburg.
Sauti pia imebadilishwa na akili unde, AI.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: