Hatmae Serikali yamaliza Mgogoro wa Ngorongoro; Makonda, Lukuvi Wazungumza na Wananchi
Автор: Gilly Bonny Tv
Загружено: 2024-08-23
Просмотров: 2044
Описание:
Hatmae Serikali yamaliza Mgogoro wa Ngorongoro; Makonda, Lukuvi Wazungumza na Wananchi
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Agosti 23, 2024 wakati Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. William Lukuvi alipozungumza na mamia ya wakazi wa Wilaya ya Ngorongoro, akiagiza pia askari wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kutowanyanyasa wananchi pamoja na kuheshimu mamlaka za serikali za mitaa zilizopo kwani Mhe. Rais Samia bado anatambua uwepo wa serikali za vijiji na vitongoji vya maeneo hayo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: