UMSIFU BWANA EE NAFSI YANGU - Zaburi ya Dominika ya 23 Mwaka B. MoHeA Studios - Waimbaji Ann & Abed.
Автор: ZABURI ZA KIKATOLIKI
Загружено: 2024-09-06
Просмотров: 3049
Описание:
Umsifu Bwana, ee nafsi yangu.
Bwana ndiye ashikaye uaminifu hata milele.
Huwarudishia haki waliodhulumiwa,
huwapa wenye njaa chakula.
Bwana huwafungua wafungwa. K
Bwana huyafumbua macho ya vipofu.
Bwana huwainua waliokandamizwa chini;
Bwana huwapenda wenye haki.
Bwana huwalinda wageni. K.
Huwategemeza yatima na mjane,
bali huipotosha njia ya waovu.
Bwana atatawala milele,
Mungu wako, ee Sioni, kizazi hata kizazi!
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: