Dr.Chris Mauki: Dalili 6 Bado Mpenzi wako Hajaachana na Ex Wake.
Автор: Chris Mauki
Загружено: 2021-09-13
Просмотров: 38852
Описание:
Je utaji sikiaje ukigundua kuwa mpenzi wako bado haja achana na EX wake? Yamkini sio kwamba ni wapenzi lakini labda bado anamkumbuka tu, Utaji sikiaje? Hata kama una kiu ya kujua hilo, je unajua viashiria? Hizi hapa dalili 6 kwamba mpenzi wako bado haja achana na EX wake.
#DrChrisMauki#Ex#MpenziWako
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: