KAULI YA MISUNGWI NA MBUNGE ENG. NTEMI BAADA YA MADIWANI KUCHAGUA M/KITI HALMASHAURI YA GEITA.
Автор: MwangazaTV
Загружено: 2025-12-01
Просмотров: 196
Описание:
#mwangazatvupdates
Diwani wa kata ya Ludete Jimbo la Katoro Wilaya ya Geita Jumanne Misungwi ameibuka mshindi katika kura za maoni ndani ya CCM wakisaka diwani atakaye pepereshu bendera ya Mwenyekiti katika Halmashauri ya Wilaya ya Geita.
Baada ya mchakato huo, Diwani Misungwi na Mbunge wa Jimbo la Katoro Kija Ntemi wamezungumza , huku wakiahidi kusimamia ilani ya chama ili kuleta maendeleo kwa wananchi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: