NYIMBO ZA PASAKA BY JOHN MAJA
Автор: John Maja
Загружено: 2025-04-09
Просмотров: 4002
Описание:
#JOHNMAJA #PASAKA
Ukombozi wa Mwanadamu ulitabiriwa na manabii tangu kale. Iliandikwa mwana wa Adamu atakamatwa, atateswa, atakufa, na siku ya tatu atafufuka katika wafu.
Maandiko hayo yote yalikuja kutimizwa, ingawa mwanadamu bado alisahau yote, na mwisho akawa akishangaa kila linalotokea kana kwamba hakujua kwamba maandiko yanatimia.
Kwaya ya Mtakatifu Secilia Parokia ya Mburahati wanatuletea wimbo wa kukumbuka safari ya Ukombozi wa Mwanadamu, aliyoipitia Bwana wetu Yesu Kristo, na wanatukumbusha kwamba Ilikuwa ni katika kutimiza maandiko.
#johnmaja #nyimbozawokovu #asili #katoliki #kanis #ekaristi
#yesukristo #tumsifujristo #nyimbopendwazakikatoliki #nyimbozayesu
#nyimbozakuabudu
Call & WhatsApp
+255 754 057 262 | +255 714 636 951
Email: [email protected]
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: