UFUTA BEI JUU WAKULIMA WATAKIWA KUZINGATIA UBORA ILI KUENDANA NA MAHITAJI YA SOKO.
Автор: Faida Online TV
Загружено: 2024-05-11
Просмотров: 4409
Описание:
Wakulima wa zao la Ufuta wametakiwa kufuata utaratibu wakati wa mavuno ya zao hilo ili kutunza ubora hali itakayosaidia kwenda sambamba na mahitaji ya Soko.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Kituo cha Utafiti wa Kilimo TARI Naliendele, Dkt. Fortunus Kapinga, alipozungumza na Waandishi wa Habari siku ya Mei 10 2024 akiwa katika moja ya Shamba Darasa la Ufuta lililoandaliwa na Kituo hicho cha Utafiti.
SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YA FAIDA ONLINE TV ILI KUPATA HABARI ZETU
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: