DK. MOLLEL AONDOA UONGOZI WA HOSPITALI YA MAUNT MERU.
Автор: MwanaHALISI TV
Загружено: 2020-06-06
Просмотров: 1852
Описание:
NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Godwin Mollel ameagiza kuondolewa kwa safu ya uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha, Mount Meru ikiwa ni sehemu ya maboresho katika sekta ya afya.
Dk. Mollel ametoa agizo hilo wakati alipofanya ziara katika Hospitali hiyo na kuzungumza na timu ya uendeshaji wa huduma za Afya ya Mkoa ukiongozwa na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Arusha Dk. Wedson Sichalwe katika ofisi za Mganga Mkuu wa Mkoa huyo Jijini Arusha.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: