KANGI LUGOLA AFUNGUKA BAADA YA KUCHUKUA FOMU YA UBUNGE, ASEMA ALIKUWA BENCHI
Автор: ufmradiotz
Загружено: 2025-08-26
Просмотров: 6580
Описание:
Mbunge wa zamani wa Jimbo la Mwibara ambaye ameteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu 2025, Kangi Lugola amechukua fomu ya kugombea nafasi hiyo na kusema alikuwa nje akisoma mchezo na sasa amerudi tena ulingoni akiwa imara zaidi.
✍ Augustine Mgendi
Mhariri @rajjmsangi
#UFMUpdates
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: