Uchunguzi wa mauaji ya Antony Otieno mwendesha boda boda aliyeuwawa South B yaendelea
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2025-11-20
Просмотров: 121913
Описание: Katika siku ya pili ya uchunguzi wa mauaji ya Antony Otieno mwendesha boda boda na mfanyi biashara wa kuwasilisha bidhaa zilizonunuliwa mtandaoni katika chumba cha kukodisha mtaani South B, runinga ya Citizen ilipata kanda za CCTV zikionyesha namna Antony alivyoingia ndani ya ghorofa hiyo kwa jina Meridian akiwa hai kabla ya kukumbana na mauti.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: