TANROADS yapewa ‘kibarua’ ujenzi uwanja wa ndege Sumbawanga
Автор: Azam TV
Загружено: 2023-10-03
Просмотров: 1625
Описание:
Naibu Waziri wa Ujenzi, Godfrey Kasekenye ameagiza Wakala wa Bararabara (TANROADS) mkoani Rukwa kuhakikisha wanamsimamia mkandarasi anayejenga uwanja wa ndege wa Sumbawanga ili amalize kazi hiyo ndani ya muda kulingana na mkataba.
(Imehaririwa na John Mbalamwezi)
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: