SALMA RASHID KIKWETE: Aahidi Kura za kishindo kwa Dkt. Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi
Автор: Salma Rashid Kikwete
Загружено: 2025-10-03
Просмотров: 9582
Описание:
“Wananchi wa Lindi tumeona kazi kubwa ya maendeleo inayofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Samia, hivyo mimi kama Mgombea Ubunge wa Mchinga nawaahidi kuhakikisha tunampa kura za kishindo Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na Mgombea Mwenza Mheshimiwa Emmanuel Nchimbi, ili tuendelee na safari ya maendeleo kwa nguvu mpya.”
~ Salma Rashid Kikwete
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: