Magoli | Kuwait 4-3 Tanzania | Mchezo wa Kirafiki 15/11/2025
Автор: Azam TV
Загружено: 2025-11-16
Просмотров: 58339
Описание:
Magoli mawili kutoka kwa Daham Khader na mengine kutoka kwa Yousef Nasser na Hamdan 69’ yameipa ushindi timu ya Kuwait kwa magoli 4-3 dhidi ya Timu ta taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’.
Ni mchezo wa kirafiki uliopigwa jana Novemba 15 na kushuhudia Tiafa stars wakipata magoli yake kupitia kwa Charles M'mombwa aliyeingia kambani mara mbili na Tarryn Allarakhia na kuifanya Stars kupoteza mchezo mchezo huo.
#MechiYaKirafiki #FriendlyMatch #FIFA #TaifaStars #Tanzania #Kuwait
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: