ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Hoja Tatu za Tundu Lissu kwa Majaji Kesi yake ya Uhaini

Автор: GREEN FM TV

Загружено: 2026-02-09

Просмотров: 994

Описание: Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dkt. Rugemeleza Nshala akizungumza na Waandishi wa Habari kwenye viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo, Jumatatu Februari 09.2026 amebainisha hoja tatu (3) zilizowasilishwa na Mwenyekiti wa chama hicho Taifa Tundu Lissu mbele ya Mahakama leo

Dkt. Nshala, amesema katika wasilisho lake Mahakamani, Lissu amewaeleza Majaji kuhusu mapito anayopitia gerezani ikiwemo uhuru na faragha ya kuzungumza na Mawakili na washauri wake wa sheria, kuzuiliwa kwa wanachama na viongozi wa CHADEMA wanaokwenda kumuona gerezani, sambamba na kucheleweshwa kwa kesi yake katika usikilizwaji kwani amekaa gerezani kwa siku zaidi ya 300 hadi sasa lakini kesi yake imesikilizwa kwa siku zisizozidi 15 hadi sasa

Sambamba na hilo, Mahakama leo imesikiliza hoja za Jamhuri katika mapingamizi yaliyowasilishwa na Tundu Lissu Novemba 12.2026, na imepanga kutoa uamuzi wa mapingamizi hayo Februari 11.2026

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Hoja Tatu za Tundu Lissu kwa Majaji Kesi yake ya Uhaini

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

KIMENUKA SELASINI BILA UOGA AISHUKIA TUME YA MACHAFUKO OKTOBA 29/AWAKAANGA MACHAWA NA SAKATA LA B2.

KINACHOENDELEA JIONI HII VITA YA IRAN/ISRAEL HAWAAMINI/ IRAN YATOA TAMKO...

AMBOKILE: YANGA TIMU KUBWA! SIMBA WANASHEREHEKEA SARE |DUBE SIO OFFSIDE, MWALIMU SIO GOLI NI OFFSIDE

RAHBY-NDEGE KADHAA ZA MAREKANI ZAANGUKA KUWAIT

Msikilize Tundu Lissu Akipinga Ombi la Ahirisho la Kesi Yake Dhidi ya Wakili wa Serikali - 2

🔴#LIVE: MADELEKA ANACHAMBUA SAKATA LA KESI YA UHAINI

🔴#LIVE: MADELEKA ANACHAMBUA SAKATA LA KESI YA UHAINI "CHADEMA WASIKUBALI MARIDHIANO"

Жириновский: остатки Ирана и Турции войдут в состав России! Воскресный вечер с Соловьевым. 13.05.18

LISU AENDELEA KUWA DIDIMIZA MASHADI WA JAMHULI

Католическая церковь делает еще одно решительное заявление: «Наши лидеры распространяют ложь», — ...

Vilio vyaibuka mahakamani katika kesi ya Tundu Lissu. Katika Dira ya Dunia TV

Mzee Ndonya Ataja Pesa anayoingiza Kupitia Nyimbo za Kikinga 'Usiangalie breach Angalia pesa' PART 1

Taharuki-Vilio Mahakamani Baada ya Lissu Kueleza Hajala Kwa Sababu Zisizofahamika- Mmoja Azimia.

HII HAPA SABABU YA TUNDU LISSU KUNYIMWA CHALULA MAHAKAMANI

🔥 BREAKING: SHAHIDI APIGWA SWALI ZITO NA LISSU!

🔥 BREAKING: SHAHIDI APIGWA SWALI ZITO NA LISSU! "UNAJUA MAANA YA KUKINUKISHA?" - MAZITO YAMEFICHUKA

ONYO UARABUNI : HAKUNA KUINGIA WALA KUTOKA KWA SASA 🔥

Его унижали хулиганы, но не знали, что он король спецназа. криминальный фильм, русский боевик

Он не знал, Что Это был Брюс Ли — Чемпион Бросил вызов Случайному Человеку в Зале

Чадема ставит ему те же условия для участия в тренировочном лагере | Заявления по делу Тунду Лиссу

LISSU APATA USHINDI? UMOJA WA MATAIFA WAIKAANGA SERIKALI BILA HURUMA, WAKILI NSHALA ASHINDWA KUVUM..

DR.NCHIMBI AMGEUKA GAFLA  RAIS SAMIA, AHOJI KUHUSU TUNDU LISSU KUENDELEA KUWA NDANI

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]